MARA TANO DIAMOND PLATNUMZ AKIMSIFIA ZARITHEBOSSLADY KWENYE INSTAGRAM PAGE YAKE

Kila mtu kwenye mahusiano yake anakuwa na
rules zake anazo play katika kumuonyesha mpenzi wake wengine wana
prefer kutompost mpenzi wake ,wengine wanatuonyesha ,but wanaenda mbali
zaidi kwa kuwasifia na kuacha ujumbe mzuri kwenye social media kuhusu
wapenzi wao na kutamanisha wengine wangekuwa wanafanyiwa hivyo

wewe upo kundi lipi la kunyamaza na kutopost kitu au kumpost mara kwa mara au kumpost kwenye special occasions tu





But wakati unafanya utakacho Diamond yeye
amekuwa akimsifia Mama Tiffah wake a lot kwa kupost picha zake na
kuacha ujumbe kwenye picha hizo











May be leo na wewe utakuwa inspired
kumwambia mpenzi wako maneno mazuri sio lazima kwenye social media hata
kwa text au calls au kumwambia face to face.

No comments:
Post a Comment